Смотреть клип NI WAKATI WA KUSIMAMA (OFFICIAL VIDEO) || PR DAVID MMBAGA или слушать онлайн NI WAKATI WA KUSIMAMA (OFFICIAL VIDEO) || PR DAVID MMBAGA 2023 в хорошем качестве онлайн
Этот товар представляет собой новый продукт, который был разработан для удовлетворения потребностей наших клиентов. Новый продукт обеспечивает высокое качество и надежность, а также удобство в использовании.
Amen ?
Amina ukweli nimebarikiwa sana na somo hili nimejifunza somo muhimu kwangu na nimepona kimwili na kiroho .Hakika mchunguji wewe ni nchaguo sahihi kwa Bwana
Mungu azidi kukutumia kama kipaza sauti mtoto wangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo na hitaji maombi ?
Amen pastor natamn Sana katk siku 10 hz za maombi Mungu anijb ombi langu
Amen ubarikiwe Pastor.
Amen
Amina pr mbaga,muombee dada yangu anaitwa Regina fidelis anasumbuliwa na nguvu za Giza(roho ya mauti) na ugonjwa wa Kansas kwenye njia ya haja kubwa na ndogo Mungu amponye na kumuondolea maumivu.lkn pia amsamehe dhambi zote
Mungu wetu asifiwe sana❤
Dada yangu anasumbuliwa na mauivu makali Bwana amponywe
Nataka maombi na umwa na titi
Amen mungu akubariki sana mutumishi wa mungu mafundisho mazuri nimebarikiwa sana mutumishi ???????
Asante japo sioni mambi app play store
Amen Pastor nimebarikiwa sanaa
amen ..mchungaji Mbaga sichoki kukusikiliza everyday namshukuru Mungu kwa ajili yako .
Amen
Samahan pr maombi app haipo praysto na mbaya zaidi nilikua nayo tayari lakin ikaacha kufanyakaz mpaka Leo haipo
Amen akika Mimi naona Rehema kwa MUNGU kabisa kwetu tumekuwa watu wa kuishi dhambi za Babu na baba zetu ila mungu ameacha Rehema ameinua mtumishi kwa boma
Hakika Mungu amesimama nasi katika nyakati zote ni mengi magumu na mazito ambayo Mungu amenivusha Hadi Sasa nashukuru Mungu Yuko nami
Barikiwa mtumishi Mungu atusadie kutembea ktk ukamilifu ili tumpendeze km kazi ya mikono yake, AMINA
AMEN pastor mmbaga bwana asifiwe masomo yako nisiraha kwamaisha yakiroho nakimwiri maubiri yako yananisimamisha imara yesu asifiwe Mimi nimu zambia tunapokea maubiri yako Mimi peter m sikazwe
Amen nashukuru Kwa fundisho nzuri naomba mungu aniwezeshe kusimama tena…..??
Amen.hata ingawa baba na mama wataniacha Mungu hatoniacha kamwe.
Amen
Nabarikiwa sana
Amina